Luhagara Company Limited ni wauzaji na wasambazji wa vifaa vya ujenzi kama vile Nondo, Square Pipe, Angle Line, Flat Bar, Misumari,. Tuna nondo ain zote Bs300&500 zenye ubora na viwango wa kukidhi mahitaji yako.
Bati za marembo kwa ajiri ya gate Maua tofauti tofauti size tofauti
Nondo mm06,08,10,12,20&35 Nondo Bs 300 & 500 Brand: Lodhia, Kiluwa
Defense wire Nzuri sana kwa Kulinda ukuta wa Jengo au shamba
Expanded Wire Big & Small Rangi: Blue, Green, Grey & Gold
Nyengo Kwa Ajiri Ya kukata Nyasi Imara sana Bei Nafuu
Common Nail all size available 1.5" - 6" Misumari Mizuri nyembamba na minene ...