Luhagara company limited ni wauzaji na wasambazji wa vifaa vy kupaua majengo mbalimbali kama vile Misumari,Bati,Gypsum board, Rangi za nyumba nk
Bati za Rangi IT4 & IT5 G28 & 30 Brand: Kiboko, Alaf, Cover max, Sunshare,
Bati Nyeupe (Galvanized G28,30& 32 Migongo10,11 &12 Brand: Kiboko, GSM, Lodhi...
Msumari wa Bati Kawaida na Rangi Misumari Yenye Rubber