Luhagara Company Limited ni wasambazaji wa vifaa pendwa vya ujezi kwa bei nafuu sana. Tumefanya utafiti wa kutosha kuhusu bidhaa zetu hivyo tunasambaza bidhaa imara na mathubuti kwa mahitaji wa watanzania katika kukidhi hadhi ya miradi au majengo.
Granite za Countertop Marble Rangi na size tofauti