Jipatie vifaa vyote kwa ajiri ya ufugaji na kilimo kama vile mashine ya kupanda mahindi (Planter, Seeding Mashine), Water Pump na Viwatilifu Pamoja na Mbolea. Luhagara Company Limited ni wazalishaji na wasambazaji pekee nchii Tanzania wa Mashine za Kupanda nafaka (Planter) kama vile Mahindi, Maharage, Mtama, nk. lakini pia utajipatia water Pump imara kwa bei nafuu sana ambazo zipo za ujazo tofauti tofauti kukidhi mahitaji yako ya kila siku.
Mipira Ya Kumwagilia maji Ipo size tofauti 3/4", 1" 1.5"